2 Mambo Ya Nyakati 32:1 BHN

1 Baada ya mambo yote hayo ya uaminifu ya mfalme Hezekia, mfalme Senakeribu wa Ashuru aliivamia Yuda. Alikuja akapiga makambi kwenye miji yenye ngome akitumaini kwamba ataishinda iwe mali yake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 32

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 32:1 katika mazingira