2 Mambo Ya Nyakati 32:23 BHN

23 Watu wengi sana walikuja wakamletea Mwenyezi-Mungu tambiko huko Yerusalemu, pia wakamletea Hezekia, mfalme wa Yuda zawadi za thamani. Hivyo kutoka wakati huo, akasifiwa sana na mataifa mengine yote.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 32

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 32:23 katika mazingira