2 Mambo Ya Nyakati 32:24 BHN

24 Wakati huo, Hezekia aliugua sana, karibu na kufa. Akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akamjibu na kumpa ishara.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 32

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 32:24 katika mazingira