2 Mambo Ya Nyakati 33:11 BHN

11 Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu akawaleta makamanda wa jeshi la mfalme wa Ashuru. Hao makamanda walimkamata Manase kwa kulabu wakamfunga pingu za shaba, wakampeleka hadi Babuloni.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 33

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 33:11 katika mazingira