15 Alitoa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu miungu yote ya kigeni na sanamu pamoja na madhabahu zote alizokuwa amezijenga kwenye mlima wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika Yerusalemu; alivitupa nje ya mji.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 33
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 33:15 katika mazingira