16 Alirudisha madhabahu ya kumwabudia Mwenyezi-Mungu, na juu yake akatoa tambiko za amani na za shukrani, akawaamuru watu wa Yuda wamwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 33
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 33:16 katika mazingira