2 Mambo Ya Nyakati 33:8 BHN

8 Na iwapo watu wa Israeli watajali kutenda yote niliyowaamuru, wakatii sheria zote, masharti, na maagizo yaliyotolewa kwa mkono wa Mose, basi kamwe sitawaacha wafukuzwe kutoka katika nchi hii ambayo niliwapa babu zao.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 33

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 33:8 katika mazingira