9 Lakini Manase aliwapotosha watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu, wakatenda maovu zaidi kuliko mataifa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyaangamiza mbele ya watu wa Israeli.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 33
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 33:9 katika mazingira