2 Mambo Ya Nyakati 35:15 BHN

15 Nao waimbaji wazawa wa Asafu walishika nafasi zao, kwa mujibu wa maagizo ya mfalme Daudi, Asafu, Hemani na Yeduthuni, mwonaji wa mfalme. Nao mabawabu walikuwa kwenye malango; hawakuhitajika kuziacha nafasi zao za kazi kwa kuwa ndugu zao Walawi waliwaandalia Pasaka.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 35

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 35:15 katika mazingira