16 Hivyo basi, huduma yote ya Mwenyezi-Mungu ilitayarishwa siku hiyo, ili kuiadhimisha Pasaka na kutoa sadaka za kuteketeza kwenye madhabahu ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamuru mfalme Yosia.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 35
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 35:16 katika mazingira