2 Mambo Ya Nyakati 4:4 BHN

4 Nalo tangi lilikuwa limewekwa juu ya sanamu za mafahali kumi na wawili, tatu zikielekea kaskazini, tatu magharibi, tatu kusini na nyingine tatu mashariki.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 4:4 katika mazingira