2 Mambo Ya Nyakati 4:5 BHN

5 Unene wa ukingo wake ulikuwa sentimita 7.5. Ukingo wake ulikuwa kama ukingo wa kikombe, na kama ua la yungiyungi. Tangi hilo liliweza kuchukua kiasi cha lita 60,000 za maji.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 4:5 katika mazingira