2 Mambo Ya Nyakati 5:1 BHN

1 Hivyo, Solomoni akamaliza kazi zote zilizohusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Kisha Solomoni akaleta mali yote Daudi baba yake aliyokuwa ameiweka wakfu, yaani: Fedha, dhahabu na vyombo; akaiweka katika hazina za nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 5

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 5:1 katika mazingira