2 Basi mfalme Solomoni akawakutanisha Yerusalemu wazee na viongozi wote wa makabila na wa koo za Israeli ili waliondoe sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu kutoka katika mji wa Daudi, yaani Siyoni.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 5
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 5:2 katika mazingira