13 Waimbaji, huku wakifuatiwa na sauti linganifu za tarumbeta, matoazi na vyombo vingine vya muziki, walimsifu Mwenyezi-Mungu wakiimba: “Maana yeye ni mwema, na fadhili zake zadumu milele.” Wakati huo nyumba ya Mwenyezi-Mungu ilijazwa wingu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 5
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 5:13 katika mazingira