14 Nao makuhani walishindwa kuhudumu humo kwa sababu ya wingu hilo, maana utukufu wa Mwenyezi-Mungu uliijaza nyumba ya Mungu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 5
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 5:14 katika mazingira