2 Mambo Ya Nyakati 7:7 BHN

7 Basi, mfalme Solomoni akaiweka wakfu sehemu ya katikati ya ua uliokuwa mbele ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwani hapo ndipo alipotolea sadaka za kuteketezwa na mafuta ya sadaka za amani, kwa sababu ile madhabahu ya shaba haikutosha kwa sadaka hizo zote.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 7

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 7:7 katika mazingira