8 Naye Solomoni kwa muda wa siku saba alifanya sikukuu pamoja na kusanyiko kubwa la watu wote wa Israeli waliotoka kiingilio cha Hamathi mpaka mto wa Misri.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 7
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 7:8 katika mazingira