2 Mambo Ya Nyakati 9:11 BHN

11 Solomoni alitumia miti hiyo kutengeneza madari ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu, na pia kutengenezea vinubi na vinanda vya waimbaji. Mambo ya namna hiyo hayakuwa yameonekana kamwe katika nchi ya Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:11 katika mazingira