2 Mambo Ya Nyakati 9:12 BHN

12 Naye mfalme Solomoni alimpatia malkia wa Sheba kila kitu alichotamani, chochote alichoomba mbali na vitu alivyomletea mfalme. Hatimaye malkia aliondoka akarudi katika nchi yake akiwa pamoja na watumishi wake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:12 katika mazingira