20 Vikombe vyote vya mfalme Solomoni vilikuwa vya dhahabu, na vyombo vyote vilivyokuwa katika Nyumba ya Msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu safi. Fedha haikuhesabiwa kuwa kitu cha thamani katika siku za Solomoni.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:20 katika mazingira