21 Solomoni alikuwa na merikebu zilizosafiri mpaka Tarshishi na watumishi wa Huramu, na kila baada ya miaka mitatu, merikebu hizo zilirudi zikimletea dhahabu, fedha, pembe, nyani na tausi.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 9
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 9:21 katika mazingira