17 Tendo hili la malkia Vashti litajulikana na wanawake wote, nao watawadharau waume zao, wakisema: ‘Mfalme Ahasuero aliamuru malkia Vashti aje kwake, lakini yeye akakataa.’
Kusoma sura kamili Esta 1
Mtazamo Esta 1:17 katika mazingira