Esta 1:16 BHN

16 Hapo Memukani akamwambia mfalme na viongozi wake, “Licha ya kumkosea mfalme, malkia Vashti amewakosea viongozi na kila mtu katika mikoa ya mfalme Ahasuero!

Kusoma sura kamili Esta 1

Mtazamo Esta 1:16 katika mazingira