5 Mfalme akatoa amri Hamani aje upesi, kama Esta alivyoomba. Basi, mfalme na Hamani wakaenda kwenye karamu aliyoandaa Esta.
Kusoma sura kamili Esta 5
Mtazamo Esta 5:5 katika mazingira