6 Walipokuwa wanakunywa divai, mfalme akamwuliza tena Esta: “Unataka nini? Niambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”
Kusoma sura kamili Esta 5
Mtazamo Esta 5:6 katika mazingira