Esta 6:2 BHN

2 Ikaonekana ilivyoandikwa jinsi Mordekai alivyongamua njama ya kumwua mfalme iliyokuwa imefanywa na Bigthana na Tereshi, wawili kati ya matowashi wa mfalme waliokuwa walinzi wa vyumba vya mfalme.

Kusoma sura kamili Esta 6

Mtazamo Esta 6:2 katika mazingira