3 Mfalme akauliza, “Je, tumempa Mordekai heshima au tuzo gani kwa jambo hili?” Watumishi wake wakamjibu, “Hujafanya kitu kwa ajili yake.”
Kusoma sura kamili Esta 6
Mtazamo Esta 6:3 katika mazingira