Ezra 4:20 BHN

20 Wafalme wenye nguvu wamepata kuutawala mji huo pamoja na mkoa wa magharibi ya Eufrate wakitoza kodi, ushuru na ada.

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:20 katika mazingira