Ezra 4:23 BHN

23 Mara tu waliposomewa barua hii kutoka kwa Artashasta, Rehumu, katibu Shimshai na wenzao waliharakisha kwenda Yerusalemu na kuwalazimisha kwa nguvu Wayahudi waache kuujenga mji.

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:23 katika mazingira