Ezra 4:24 BHN

24 Kazi ya kuijenga upya nyumba ya Mungu mjini Yerusalemu ilisimama, na hali hiyo iliendelea mpaka mwaka wa pili wa utawala wa Dario, mfalme wa Persia.

Kusoma sura kamili Ezra 4

Mtazamo Ezra 4:24 katika mazingira