Ezra 5:12 BHN

12 Lakini kwa kuwa babu zetu walimkasirisha Mungu wa mbingu, yeye aliwatia mikononi mwa mfalme Nebukadneza wa Babuloni, Mkaldayo, aliyeiharibu nyumba hii na kuwapeleka watu uhamishoni huko Babuloni.

Kusoma sura kamili Ezra 5

Mtazamo Ezra 5:12 katika mazingira