Ezra 5:13 BHN

13 Lakini mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wake mfalme Koreshi wa Babuloni alitoa amri nyumba hii ya Mungu ijengwe upya.

Kusoma sura kamili Ezra 5

Mtazamo Ezra 5:13 katika mazingira