Ezra 6:13 BHN

13 Basi, Tatenai, mtawala wa mkoa wa magharibi ya mto Eufrate, Shethar-bozenai, na maofisa wenzao, wakafanya bidii kutekeleza maagizo ya mfalme.

Kusoma sura kamili Ezra 6

Mtazamo Ezra 6:13 katika mazingira