Ezra 8:29 BHN

29 Tafadhali vilindeni na vitunzeni mpaka mtakapovipima mbele ya makuhani wakuu, Walawi na viongozi wa koo za Israeli, huko Yerusalemu katika vyumba vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Ezra 8

Mtazamo Ezra 8:29 katika mazingira