30 Basi, makuhani na Walawi wakachukua fedha, dhahabu na vyombo vyote walivyopimiwa, ili kuvipeleka mjini Yerusalemu katika nyumba ya Mungu wetu.
Kusoma sura kamili Ezra 8
Mtazamo Ezra 8:30 katika mazingira