Ezra 9:5 BHN

5 Jioni, wakati wa kutoa tambiko ulipofika, niliinuka mahali hapo nilipokuwa nimekaa kwa huzuni huku nguo zangu zimeraruka pamoja na joho, nikapiga magoti na kumnyoshea mikono yangu Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, na kuomba,

Kusoma sura kamili Ezra 9

Mtazamo Ezra 9:5 katika mazingira