Ezra 9:6 BHN

6 nikisema, “Ee Mungu wangu, naona aibu kubwa sana kukiinua kichwa changu mbele yako. Dhambi zetu zimerundikana kupita hata vichwa vyetu; naam, makosa yetu yanafika hata mbinguni.

Kusoma sura kamili Ezra 9

Mtazamo Ezra 9:6 katika mazingira