Kumbukumbu La Sheria 1:16 BHN

16 “Wakati huohuo niliwapa waamuzi wenu maagizo yafuatayo: ‘Sikilizeni kesi za watu wenu. Toeni hukumu za haki katika visa vya watu wenu, kadhalika na mizozo ya wageni waishio pamoja nanyi.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 1

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 1:16 katika mazingira