Kumbukumbu La Sheria 1:17 BHN

17 Msimpendelee mtu yeyote katika kutoa hukumu; mtawasikiliza bila upendeleo, wakubwa kwa wadogo. Msitishwe na mtu yeyote, maana hukumu mnayotoa inatoka kwa Mungu. Kesi yoyote ikiwa ngumu zaidi kwenu, ileteni kwangu, nami nitaisikiliza.’

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 1

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 1:17 katika mazingira