27 Mlinungunika ndani ya mahema yenu mkisema, ‘Mwenyezi-Mungu anatuchukia na ndiyo maana alitutoa nchini Misri. Alitaka kututia mikononi mwa Waamori, atuangamize.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 1
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 1:27 katika mazingira