Kumbukumbu La Sheria 1:28 BHN

28 Kwa nini tuende huko hali tumevunjika moyo kwa hofu? Wametuambia kuwa watu wa huko ni wakubwa na warefu kuliko sisi, na kwamba miji yao ni mikubwa na yenye kuta zifikazo mawinguni. Tena wamesema kwamba waliwaona wale wazawa wa Anaki!’

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 1

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 1:28 katika mazingira