Kumbukumbu La Sheria 1:41 BHN

41 “Kisha mkanijibu, ‘Sisi tumemtendea dhambi Mwenyezi-Mungu, lakini sasa tutakwenda na kupigana kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alivyotuamuru’. Hivyo, kila mmoja wenu akajitayarisha kupigana vita; maana mlifikiri kwamba lingekuwa jambo rahisi kuivamia nchi hiyo ya milima.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 1

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 1:41 katika mazingira