Kumbukumbu La Sheria 1:42 BHN

42 Naye Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Waambie hao watu wasiende kupigana kwa sababu sipo pamoja nao; wasiende, wasije wakashindwa na adui zao’.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 1

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 1:42 katika mazingira