Kumbukumbu La Sheria 10:3 BHN

3 “Basi, nikatengeneza sanduku la mshita na vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, nikavitwaa mkononi, nikapanda navyo mlimani.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:3 katika mazingira