4 Mwenyezi-Mungu akaandika katika vibao hivyo maneno yaleyale kama ya hapo awali: Amri kumi ambazo aliwapeni alipoongea kutoka katika moto siku ya mkutano. Halafu Mwenyezi-Mungu akanipa vibao hivyo.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:4 katika mazingira