Kumbukumbu La Sheria 10:5 BHN

5 Niligeuka, nikashuka kutoka mlimani, na kama Mwenyezi-Mungu alivyoniagiza, niliviweka vibao hivyo ndani ya sanduku nililokuwa nimelitengeneza, na vimo ndani ya sanduku hilo, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru.”

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:5 katika mazingira