6 (Watu wa Israeli walisafiri kutoka visima vya watu wa Yaakani hadi Mosera. Hapo, Aroni alifariki, akazikwa. Eleazari mwanawe, akachukua nafasi yake kama kuhani.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:6 katika mazingira