Kumbukumbu La Sheria 10:7 BHN

7 Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:7 katika mazingira