Kumbukumbu La Sheria 10:8 BHN

8 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu aliwateua watu wa kabila la Lawi wawe wakilibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, wamtumikie kama makuhani na kubariki watu kwa jina lake hata hivi leo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:8 katika mazingira